About - Natural food supplements

Kuhusu sisi

Watengenezaji wakubwa wa virutubisho lishe kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali za kiafya na tunatuma popote pale Tanzania na nje ya nchi, Pia tunawasaidia watu kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo.

Tunachotatua

Tunatatua changamoto za magonjwa yote kwa kutumia virutubisho lishe na pia tunabadili changamoto kuwa fursa.

Walengwa wetu

Kila mtu mwenye changamoto ya kiafya na ambaye hana changamoto kwani bidhaa hizi zinakinga na kuondoa tatizo.

Changamkia fursa

Upande wa kuanza biashara kila mtu anaweza kuanza ili mradi awe na miaka zaidi ya 18.

©2024. Natural food supplements. All Rights Reserved.

Designed and developed by swahilisoftware