Changamkia fursa



Kazi Yangu Ni Kukufundisha Mbinu Za Kutengeneza Timu Kimkakati Itakayo kufanya Ufaidike Kwa Haraka Zaidi Na Kufahamiana Na Watu Mbalimbali Ambao Ni Wapambanaji Ila.....!!
- Je Kwasasa Unafanya Mauzo Yanayo Ridhisha …?
- Je Timu Yako Inakua na kukuingizia Pesa Kila Siku …?
- Je Timu Yako Inafanya Mauzo Ya Kutosha ...?
- Je Kampuni yako Ina Bidhaa Zinazotatua Changamoto za Watu
Kama Jibu Linakuja Basi Ni Dalili Kua Biashara Yako Itakufa Hivi Karibuni Kwasababu
Katika Hali Kama Hiyo Sio Wewe Wala Timu Yako Anaefurahia Biashara Kushuka au Kipato Kubaki Pale Pale, Kwasababu Wote Hamuingizi Pesa Inayoeleweka … Kuna Wakati Unaitia MOYO Timu Yako Kwa Kuwambia Pesa Ziko TUPAMBANE Lakini Ukikaa Peke Yako Unavurugwa….
Hali Imeshakua Mbaya Na Hujui Ufanye Nini ..?
Na Mbaya Zaidi Idadi Ya Watu Wanaoacha Biashara Inazidi Kua Kubwa Ngoja Nikuambie Ukweli…
Acha Kujidanganya Na Kujifariji
Huwezi Kupiga Hatua Kwenye Biashara Hasa Huku Ya Network Marketing Kama Hujapata Kampuni Nzuri Yenye MPANGO MASOKO MZURI WA KUKUWEZESHA KUZIFIKIA NDOTO ZAO na Kampuni Yenye Bidhaa Zinazotatua Changamoto Za Watu.
Najua Wewe Unaipenda Sana Biashara Na Unaamini Itakutoa Na Huwezi Kuacha Japo Unapitia Wakati Mgumu Lakini Vipi Kuhusu Timu Yako Inaona Kama Wewe? Uwenda Jibu Likawa HAPANA
Kama Hawatengenezi Faida Yoyote Wataendelea Kuvumilia Kweli? Uwenda Napo Jibu Linaweza Kuwa HAPANA
Mwisho Wa Siku Utakua Unatwanga Upendo Na Kupoteza Muda Kwenye Biashara Za Network Marketing Huku Ukisema “One Day Yes.”
Ndio Maana Nakuibia Siri Hii …
Watu Hawafanikiwi Kwenye Network Marketing Kwa Bahati Mbaya, Kuna Mbinu Wanazitumia Ambazo Zinawafanya Wawe Wauzaji Wazuri Na Wawe na Timu Zinazowafanya Bonus Zao Kukua Kila Siku.
“Timu Zote Zilizo Simama Imara Jua Kiongozi Aliwajibika Kusaidia Team Yake Na Pia Kampuni Yao Ina Mpango Masoko Mzuri, Kama Unaona Kwenye Kampuni Kuna Baadhi ya Watu Tu Ndio Waliofanikiwa Basi Hapo Jua Kuna Tatizo.”
Sasa Leo Nataka Kukutambulisha Kampuni Mpya Na Ambayo Imepangilia Mpango Masoko Wake Kuhakikisha Kila Mwanachama Anafaidika Kupitia Hii Kampuni. Siku Zote Kumbuka Haya .
Kipofu Hawezi Kumuongoza Kipofu Mwenzake.
Kwa Mtaji Mdogo Wa
- 1.TZS 210,000/-
- 2.TZS 360,000/-
- 3.TZS 1,800,000/-
- 4.TZS 3,600,000/-
Utaweza Kuanzisha Biashara Kubwa na Yenye Uwezo wa Kukuingizia Bonus Ya Kila Saa na Kila Siku.
By The Way, Kama Upo Tayari Kuanza Biashara Siku Ya Leo Nimeandaa Ofa Kwaajili Ya Watu 15 Tu Wenye Kiu Ya Kutaka Kuanza Biashara Na Kubadili Maisha Yao Na Kusaidia Watu Wengine
BONASI # 1: Endapo Utajiunga Leo Utapata Nafasi Ya Kupata Mafunzo Mwezi Mzima Ya Namna Ya Kujenga Biashara Yako Kimkakati.
BONASI # 2: Utapata Msaada wa Kujengewa Timu Ya Watu Wasiopungua Watu 10.
BONASI # 3: Utaingia Kwenye Group Litakalokusaidia Kukuza Biashara Yako Leo
Kumbuka Ofa hizi zipo kwa Siku 2 TU Kwa Wote Watakaojiunga Mapema.
Hivyo Basi Hakikisha Unaangalia Video Hii Kuanzia Mwanzo Hadi Mwisho Kisha Fanya Maamuzi Sasa. Kama Haujaitazama Tafadhali Usitutafute Kuuliza Maana Kila Kitu Kipo Kwenye Hii Video…!!
Chagua Aina Ya Mtaji Unaotaka Kuanza Nao Kisha Fanya Malipo Yako Sasahivi …..
- 1. MTAJI WA 210,000/-
- 2. MTAJI WA 360,000/-
- 3. MTAJI WA 1,800,000/-
- 4. MTAJI WA 3,600,000/–
MALIPO YOTE YAFANYIKE KWENYE LIPA NAMBA ZA OFISI
LIPA NAMBA YA VODACOM
NAMBA: 5997702
JINA: BETTER LIFE

LIPA NAMBA YA TIGO
NAMBA: 17495067
JINA: BETTER LIFE LTD

…..Tunakuhakikishia na Kukulinda Na Hii GUARANTEE hapa Chini….. “Ikitokea Umejiunga Na Haujapata Matokeo Ndani Ya Siku 120 na Kila Kitu Ulichofundishwa Umefanya na Bado Ujaona Kukua Kwa Bonus, Basi Nitumie Ujembe WhatsApp “0622 551 009”ili nikurudishie Pesa Yako Ya Mtaji.’’ Kwanini Uendelee Kuzurura na Kampuni Ambazo zinafaidi Nguvu Zako na Wewe Haufaidiki? Anza leo Biashara na Utaona Mabadiliko.…?
Ukifanya Malipo Kisha Gusa Ukifanya Malipo Kisha Gusa Hapa Chini Tuma Screenshort Ya Muamala Wako ili Kufanyiwa Registration na Kupata Vitendea Kazi.
Useful Links
Contact us
- +255 622 551 009
- changamkiafursa1@gmail.com
- Dodoma Hotel
©2024. Natural food supplements. All Rights Reserved.
Designed and developed by swahilisoftware