Mpishi / Chef at Fides Tanzania Limited, Arusha April 2026     

  • Full Time
  • Arusha

Website Fides Tanzania Limited

Fides Tanzania Limited

Mpishi / Chef at Fides Tanzania Limited, Arusha April 2026

TANGAZO LA NAFASI 01 YA MPISHI (CHEF).

MAHALI:           ARUSHA, TANZANIA.

KITUO CHA KAZI: Fides Tanzania Ltd.

MWISHO WA TANGAZO: 18/04/2026 SAA 16:00 PM.

MAELEZO YA KAZI

Jukumu kuu la kazi ni Kuandaa na kupika vyakula vikiwa katika ubora, kudumisha usafi na mpangilio jikoni, kufuatilia chakula kilichopo stoo, kushirikiana na timu, na kuhakikisha uzingatiaji wa kanuni za usalama wa chakula.

VIGEZO MUHIMU

  • ELIMU: UWE UMEHITIMU KIDATO CHA NNE AU ZAIDI
  • UZOEFU: MWAKA 1 KATIKA UPISHI WA MENU (catering).
  • UWE NA UTAYARI WA KUJIFUNZA
  • NIDHAMU KAZINI

Majukumu ya Msingi

  1. Kuandaa na kupika vyakula vilivyoandaliwa kwa siku.
  2. Kuandaa kifungua kinywa asubuhi na chakula cha mchana kwa wafanyakazi wote.
  3. Kurekebisha idadi ya chakula kinachoandaliwa kulingana na idadi ya wafanyakazi waliopo shambani kila siku.
  4. Kuhakikisha chakula kinatolewa kwa wakati
  5. Kufanya kazi nyinginezo kama itakavyoelekezwa na mwandamizi /msimamizi wako wako.
  • VITU VYA KUAMBATANISHA
  1. Barua ya kuomba kazi
  2. Wasifu kazi (cv)
  3. Nakala za vyeti na nyinginezo muhimu

 JINSI YA MAOMBI

TUMA BARUA KWA ANUANI HII HAPO CHINI

MANAGING DIRECTOR,

FIDES TANZANIA LIMITED,

P.O. BOX 1304 ARUSHA, TANZANIA

NB: Hahakikisha umeandika mawasiliano yako yanayopatikana

 


 

Job Opportunity: Chef at Fides Tanzania Limited

Fides Tanzania Limited is seeking a dedicated and professional Chef to join their team in Arusha. This role is central to maintaining the quality and efficiency of the company’s catering services for its staff.


Job Overview

  • Position: Chef (01 Post)

  • Location: Arusha, Tanzania

  • Workplace: Fides Tanzania Ltd

  • Application Deadline: 18th April 2026 at 4:00 PM


Job Description

The primary responsibility is to prepare and cook high-quality meals while maintaining strict kitchen hygiene and organization. The role involves managing food stock, collaborating with the team, and ensuring all food safety regulations are followed.


Key Qualifications

  • Education: Minimum of a Form Four (O-Level) Certificate or higher.

  • Experience: At least 1 year of experience in menu preparation/catering.

  • Skills: Willingness to learn and a high level of professional discipline.


Primary Responsibilities

  • Prepare and cook scheduled daily meals.

  • Prepare breakfast and lunch for all staff members.

  • Adjust food quantities daily based on the number of employees present at the farm.

  • Ensure all meals are served punctually.

  • Perform any other duties as directed by your supervisor or senior manager.


Application Requirements

Interested candidates must attach the following documents:

  • Application Letter

  • Updated Curriculum Vitae (CV)

  • Copies of relevant academic and professional certificates


How to Apply

Applications can be submitted via email or post:

  • Email: ft@dummenorange.com

  • Postal Address:

    MANAGING DIRECTOR,

    FIDES TANZANIA LIMITED,

    P.O. BOX 1304 ARUSHA, TANZANIA

Note: Please ensure your application includes active and reachable contact information.

To apply for this job email your details to ft@dummenorange.com

Spread the love